![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
|
| Portal | Liberation Forum | Store | Arcade | Search YouTube | ABIBItube Media | Site Map | Photo Gallery | Abibifiles | Bookmark Us! | Member Classroom |
|
|||||||
| Register | VBay [0] | Invite Afrikans | Stats | All Albums | Blogs | FAQ | Donate | Members | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| Notices |
| KiSwahili Language Resources Mkusanyiko wa Lugha ya Kiswahili |
|
|
http://www.abibitumikasa.com/forums/![]() |
|
![]() |
|
|
LinkBack | Thread Tools | Display Modes |
|
||||||||||||
|
Ijapo kupita dunia yote ni kikristo, kiyahudi, kislamu kuna dini nyingine yule ni dini ya dani kama kibuda na kiyoruba. Mimi ni kiyoruba. Familia yangu ni Ukristo lakini mimi sihuanzi kuzoea. Mimi ninapenda dini yule juu ya mambo ya roho na uhusiano na ukoo kiafrika na mhindi mwekundu. Desturi ya kiyoruba anafanya yote. Nini muhimu katika kiyoruba ni uwezo wa ukoo ambao ni muhimu katika na mafrika na mhindi mwekundu. Katika desturi ya kiyoruba kuna imani katika kuwepo kwa Mungu, jina letu Olodumare. Pia, kuna umungu (pl?) au onyesho wa Mungu jina letu Orisas ambao wana sura (pl?) ya ulimwenguni. Kuna kuliko mia nne Orisas, kwa mfano: Jina lake ni Sura ya Uwezo Rangi Alama ulimwenguni Exu Njia panda lugha Nyeusi na nyekundu Njia panda Oya tufani Uwezo mkee zambarau Upepo Oshun mto juana dhahabu Pepeo na kioo Yemonja bahari umama Ya buluu isiyokoza Kombe Oxossi mwindaji takdiri Kijani iliyokoza Upinde na mshale Shango Mwale/radi hakimu nyekundu Mwale au feruzi Ogun metali Bingwa wa metali Buluu iliyokoza Chombo metali Obatala dunia Muumba wa dunia nyeupe Kombe wa konokono Orumila elimu umaizi Kijani na kahawia Numbari kumi na sita Babaluyiae Ugongwa (ndui) maambukizo Nyeusi na kahawia Majani makavu Aganju zilizala ‘platetectonics’ Zambarau iliyokoza Mwamba wa volkano Ossain mitishamba Mtaalamu wa mitishamba Kijani na manjano Mitishamba Pia, kiyoruba wana mimi yule ukoo kucheza wajibu muhimu wa uhai wenu. Kila familia ana ukoo bila jina mtu binafasi jina letu Egun. Pia kila familai wanakiri wenu ukoo siku hizi kw mfano baba yangu. Ni muhimu kuunganish na kutoa kwa Olodumare, Orisas, ukoo, na Egun. Kuna kaida za dini wanafanya kila wiki, mwezi au mwaka kusema asante kwa maana kuongoza. Kama wanahitaji msaada, wanakwenda Babalow au Baba Orisa. Babalow ni mtu ambayo ni kama kasisi. Wao wanatoa kwa hasa Orumila kwa kutumia ya naguzi jina letu Ifa. Kuna 256 kusema jina lenu Odus. Kila Odu huna nadithi jina lenu Apotokees. Babalows anatumia Apotokees kufundisha watu yule wanahiyaji kujua. Baba Orisa ni kasisi tofauti. Baba Orisa wanatoa kwa ukoo na Orisa sana kwa kutumia ya uaguzi kwa kombe au mbalimbali.
__________________
"Isn't it sad how some people's grip on their lives is so precarious that they'll embrace any preposterous delusion rather than face an occasional bleak truth?" |
![]() |
| Bookmarks |
| Tags |
| dini, info, kiswahili, spirituality, yoruba |
| Thread Tools | |
| Display Modes | |
|
|
|
These are the 70 most-searched-for thread tags
Search Tag Cloud
|
| (twi) 7 or 8 9th 2008 abibitumi abujamal africa afrikan akan ancient applications baby baruti begins bible black camps class cnn concentration court cultural death egyptians family geronimo ghana ghanafest hebrew? inside introduce journey june kamau kambon kasa languages launch learn liberation links main messengers mothers mwalimu nations network nigerian okomfo online origin post race rashidi runoko sankɔfa science seneweb session slideshow standing summer summit t'shango trouble twi week wolof words yoruba |