Kiolesura Fungasha Kiswahili cha Windows® XP
[/b]
Brief Description Kiolesura Fungasha cha Windows XP Professional na Windows XP Home Edition kinatoa utumiaji wa ukuruba kiole fungasha kwa masoko ya lugha yanayoanza ama yale madogo.
For those who are interested in integrating KiSwahili into your daily lives, courtesy of Windows, Abibitumi Kasa is hosting downloads of the Swahili Language Interface Pack. To download click the link below:
http://www.abibitumikasa.com/yabb/Attachments/LIPSetup.msi (http://abibitumikasa.com/yabb/YaBB.pl?action=dereferer;url=http://www.abibitumikasa.com/yabb/Attachments/LIPSetup.msi)
*
Overview Kiolesura Fungasha Kiswahili cha familia ya Windows XP kinatoa Kiolesura Kiswahili cha Mtumiaji kwa watumiaji wengi wa Kiolesura cha Windows XP. Kiolesura Fungusha Kiswahili kitahitaji uhakikisha wa Microsoft Windows wakati wa kunited snakesnidiwa. Uhakikishi unakuhakikishia kuwa kuwa unatumia nakili ya Windows halali iliyopewa kibali. Tafadhali soma maelezo halali kuhusu programu za ngamizi kutoka Microsoft ili kujifunza zaidi kuhusu faida ya kutumia maelezo halali ya programu za ngamizi za Windows.
System Requirements
* Supported Operating Systems: Windows XP
• Mfumo wa Uendeleshaji uliotegemezwa: 32-bit Toleo la Kiingereza la Windows XP with Service Pack 2 (SP2)
• 5 MB nafasi wazi (kwa kupakuliwa)
• 15 Mb nafasi wazi (kwa united snakesnidi)
Attached files LIPSetup.msi (https://www.abibitumi.com/wp-content/uploads/ppMigration/30338=780-LIPSetup.msi) (5.7 MB)
Please the like doest work but i direly need the KISWAHILI LIP for XP Profesional