[/b]
Ijapo kupita dunia yote ni kikristo, kiyahudi, kislamu kuna dini nyingine yule ni dini ya dani kama kibuda na kiyoruba. Mimi ni kiyoruba. Familia yangu ni Ukristo lakini mimi sihuanzi kuzoea. Mimi ninapenda dini yule juu ya mambo ya roho na uhusiano na ukoo kiKmt na mhindi mwekundu. Desturi ya kiyoruba anafanya yote. Nini muhimu katika kiyoruba ni uwezo wa ukoo ambao ni muhimu katika na mKmt na mhindi mwekundu. Katika desturi ya kiyoruba kuna imani katika kuwepo kwa Mungu, jina letu Olodumare. Pia, kuna umungu (pl?) au onyesho wa Mungu jina letu Orisas ambao wana sura (pl?) ya ulimwenguni. Kuna kuliko mia nne Orisas, kwa mfano:
Jina lake ni Sura ya Uwezo Rangi Alama
ulimwenguni
Exu
Njia panda
lugha
Nyeusi na nyekundu
Njia panda
Oya
tufani
Uwezo mkee
zambarau
Upepo
Oshun
mto
juana
dhahabu
Pepeo na kioo
Yemonja
bahari
umama
Ya buluu isiyokoza
Kombe
Oxossi
mwindaji
takdiri
Kijani iliyokoza
Upinde na mshale
Shango
Mwale/radi
hakimu
nyekundu
Mwale au feruzi
Ogun
metali
Bingwa wa metali
Buluu iliyokoza
Chombo metali
Obatala
dunia
Muumba wa dunia
nyeupe
Kombe wa konokono
Orumila
elimu
umaizi
Kijani na kahawia
Numbari kumi na sita
Babaluyiae
Ugongwa (ndui)
maambukizo
Nyeusi na kahawia
Majani makavu
Aganju
zilizala
'platetectonics'
Zambarau iliyokoza
Mwamba wa volkano
Ossain
mitishamba
Mtaalamu wa mitishamba
Kijani na manjano
Mitishamba
Pia, kiyoruba wana mimi yule ukoo kucheza wajibu muhimu wa uhai wenu. Kila familia ana ukoo bila jina mtu binafasi jina letu Egun. Pia kila familai wanakiri wenu ukoo siku hizi kw mfano baba yangu. Ni muhimu kuunganish na kutoa kwa Olodumare, Orisas, ukoo, na Egun. Kuna kaida za dini wanafanya kila wiki, mwezi au mwaka kusema asante kwa maana kuongoza. Kama wanahitaji msaada, wanakwenda Babalow au Baba Orisa. Babalow ni mtu ambayo ni kama kasisi. Wao wanatoa kwa hasa Orumila kwa kutumia ya naguzi jina letu Ifa. Kuna 256 kusema jina lenu Odus. Kila Odu huna nadithi jina lenu Apotokees. Babalows anatumia Apotokees kufundisha watu yule wanahiyaji kujua. Baba Orisa ni kasisi tofauti. Baba Orisa wanatoa kwa ukoo na Orisa sana kwa kutumia ya uaguzi kwa kombe au mbalimbali.