| Bongo | Tanzania, Tanganyika, Dar es Salaam | brain | Bongoland | Tanzania, Tanganyika, Dar es Salaam | TRUE | Ili uweze kuishi Bongoland, lazima uwe na miradi. |
| changudoa | young prostitute | a specie of fish | CD | kahaba | TRUE | Machangudoa wanakabiliwa na hatari ya UKIMWI. |
| chuna | extort money | skin (someone) | chanja | toza | TRUE | Wanachojua watoto wa mjini ni kuwachuna wote wanaozubaa. |
| Dizim | Dar es Salaam | DSM | Bongo | Dar | TRUE | Kila mtu anatamani japo kufika tu Dizim. |
| kitimoto | pork | hot seat | mkuu wa meza | nyama ya nguruwe | TRUE | Siku hiyo kila mtu alipika kitimoto. |
| kitu kidogo | bribe | something little | chauchau, chai | rushwa, hongo | TRUE | Kitu kidogo kinasababisha huduma duni za jamii. |
| lupango | prison | selo | jela | TRUE | Kwenda Lupango ni sawa na kuhukumiwa kifo. | |
| majuu | 'up' | abroad | mamtoni, kwa mama | ng'ambo | TRUE | Tangu achaguliwe anaenda majuu kama Kariakoo. |
| matanuzi | extravagance | 'extension' | matumizi | TRUE | matanuzi yana gharama kubwa. | |
| mguu wa kuku | pistol | a hen's leg | chuma | bastola | TRUE | Mtu mwenye pesa sasa anaweza kujipatia 'mguu wa kuku' dukani. |
| mwanga (pl. wanga) | witch | light | gagula | mchawi, mshirikina | TRUE | Alipomkuta kaburini usiku, alimhisi kuwa ni mwanga. |
| ngurumbili | human being | mtu, binadamu | FALSE | Huwezi kumdhibiti ngurumbili | ||
| njagu (pl. manjagu) | police officer | mwela, njago | polisi, askari | TRUE | Kinachotukera ni mtindo wa yule njago kukamata watu ovyo. | |
| sirikali | government | 'hot secret' | Serikali | TRUE | Sirikali nyingi za Kmt hazizingatii haki za binadamu. | |
| ukapa | economic depression, lack of money, lack of purchasing power | kuwamba, kuwaka, kuchalala | Ukata | TRUE | Ukapa mwaka huu utatuua! Hata dawa za homa tu hatumudu kununua! | |
| ulabu | any local brew | udirinki, mataputapu, 'taps' | Pombe ya kienyeji | TRUE | Baada ya kupata ulabu, alianza kufanya mambo ya ajizi. | |
| ung'eng'e | English language | Kimombo | Kiingereza | TRUE | Anayeongea ung'eng'e huonwa msomi. | |
| ngangari | stable, unswerving | ngunguri | thabiti, imara | TRUE | Baada ya wao kuwa ngangari, manjagu wakawa ngunguri. | |
| kasheshe | mayhem, furore | kosovo, zohali, sheshe | vurumai, vurugu | TRUE | Maandamo yalileta kasheshe kubwa! | |
| kideo | 1. Video 2. gazing-stock | One Video | 1. Video 2. Kituko | TRUE | hakujua alikuwa anaonekana kideo. | |
| Bushi | Rural area | Bush | Usweken | Kijijini / Vijijini | TRUE | Alivyo utafikiri katoka Bushi jana! |
| Gogo | Passenger train | a tribe in central Tanzania | garimoshi, treni | TRUE | Enzi zetu tulikuwa tunapanda gogo bure | |
| mnoko | Someone 'too' strict | mkuda, mnaa, kinaa | mwadilifu | TRUE | Amekuwa mwalimu wa nidhamu kutokana na kuwa mnoko. | |
| noma | embarassment, scandal | skendo | Kadhia, Kashfa | TRUE | Ikawa noma kweli alipokamatwa | |
| Maimuna | S/he who cannot speak or understand a language or a specific knowledge | A female name | Hafahamu, maamuma | TRUE | Walimwita 'Maimuna' kwa vile tu eti alishindwa kuongea Kiingereza! | |
| Kihiyo (pl. Vihiyo) | A person who is supposed to be an expert, but actually is not trully qualified. | A male name | Asiye na sifa | TRUE | Vihiyo Bongoland wako kila mahali. | |
| Dala (n) | Five | Dollar | Gwala | Tano | TRUE | Mchezaji wao namba Dala aliwasaidia sana wasifungwe. |
| =bomu (v) | To beg from some one, especially money. | bomb | -piga mzinga | -omba | TRUE | Walevi wa madawa ya kulevya hawaoni haya kumbomu kila mtu |
| Mzungu wa Unga (n) | Drug dealer | "A white person with flour" | Zungu la Unga | Muuza madawa ya kulevya | TRUE | Wanaokamatwa mara nyingi ni watumiaji wadogo, na si wazungu wa unga. |