Communiversity

Afrikan Language Institute => KiSwahili Language Resources => Topic started by: KaNisa on Aug 13, 2008, 05:26 AM

Title: Mwanzo: Wikipedia in KiSwahili-gctid30365
Post by: KaNisa on Aug 13, 2008, 05:26 AM
Mwanzo: Wikipedia in KiSwahili
[/b]
 http://sw.wikipedia.org/wiki/Mwanzo (http://abibitumikasa.com/yabb/YaBB.pl?action=dereferer;url=http://sw.wikipedia.org/wiki/Mwanzo)
 
 Mwanzo
 From Wikipedia
 Jump to: navigation, search
 Karibu Wikipedia
 Karibu Wikipedia ya Kiswahili!
 
 Wikipedia ni mradi wa kutunga kamusi elezo kamili na sahihi ya maandishi huru.
 
Kila mtu anaweza kuhariri makala yoyote, kutoa makosa ya lugha, kutohoa maneno na kuendeleza na kukuza makala, kwa kuandika kwa ufupi au kwa urefu. Angalia ukurasa wa msaada ili ujifunze unavyoweza kuhariri au kunited snakesnifisha ukurasa. Usisite kushiriki; kwa sababu huu ni mradi wa ushirikiano, na hautaisha kamwe. Kamusi elezo itaimarika vizuri zaidi kila wakati. Angalia ukurasa wa jumuia, ukurasa wa jamii, na ule wa makala za msingi za kamusi elezo ili kung'amua unaweza kufanya kazi zipi ili kuboresha Wikipedia.
 
 Leo ni tarehe 12/06/2006, na mpaka sasa tuna makala 684 katika kamusi elezo hii.
 
 • Miradi inayoshirikiana
 
 Meta-Wikipedia - Wikidondoa - Wikivitabu - Wikikamusi